Machapisho maarufu kutoka blogu hii
Baada ya Kumwagana na Ali Kiba,,Jokate Aaamua Kuweka Wazi Vigezo kwa Kidume Mwingine Anayemtaka..!!!
Mrembo Jokate Mwegelo ameamua kuweka wazi juu ya mwanaume anayependa kuolewa naye na kuanzisha familia baada ya miaka mitano. Akizungumza na gazeti la Mwanachi Jokate ambaye ametajwa kuwa katika orodha la jarida la Forbes Africa la kuwa miongoni mwa vijana walio na umri chini ya miaka 30 wenye mafanikio mbalimbali kwa mwaka 2017. “Kusema kweli kitu ninachotamani awe nacho mume wangu ni hofu ya Mungu, pia awe mchapakazi na mwenye malengo ya mbele. Mwanaume wa aina hiyo ni rahisi sana kumthamini mke wake, kutambua mwanaume mwenye upendo wa dhati si ngumu kwani unaangalia maisha yake binafsi anaishije na ndugu ,jamaa na marafiki” amesema Joketi. Pia mrembo huyo amesisitiza kuwa suala la dini si kikwazo kwake kwani amezungukwa na watu wa imani tofauti. Kwa takribani mwaka mmoja Jokate amekuwa akihusishwa kuwa na mahusiano na mwanamuziki Alikiba ingawa hakuna kati yao aliyewahi kuthibitisha hilo.
Mimi Mars Amkana Dada Ake Vanessa Mdee...Asema....
Msanii anayechipukia kutoka ' Mdee Music ' Mimi mars amefunguka na kuweka wazi kwamba hataweza kushirikiana na dada yake Vanessa Mdee katika kuandaa kazi ya pamoja kwa kipindi hiki kwa sababu ya mashabiki zake bado wanashindwa kutofautisha sauti zao Mars ambaye anafanya vizuri na wimbo mpya unaokwenda kwa jina la 'Dedee' amesema kwa sasa yupo kwe wakati mgumu wa kujitofautisha na dada yake huyo kwai sauti zao zimekuwa zikiwachanganya mashabiki zao kiasi cha kuonekana kama Vanessa. Akizungumza na eNewz ya EAT V Mars amesema kwamba "Mission yangu ni kujitahidi kubadilisha suala la kufanana na Vanessa, kwani mashabiki na watu wengine wamekuwa wakisema tunafanana uimbaji . Nadhani kwa sababu bado ni mapema hawajazoea kwani mimi ni mgeni lakini niyahakikisha nakuwa tofauti ila ikishindikana kubadilika, nadhani watakuwa wameshazoea na hata kututofautisha wao wenyewe. Lakini niwe mkweli Vanessa siwezi kufanya naye kazi sahivi mpaka watu waweze kututofautisha il...
Maoni
Chapisha Maoni