Ben Pol na Mchekeshaji Abitoke Sio Siri Tena..Abitoke Afunguka


From @ebitoke - Nimeona niweke comedy pembeni leo naongea kitu siriazi.

Najua wengi hamjawahi kuona nikipost mpenzi wangu ila nimeona leo niweke wazi. Kwa muda mrefu nimeficha hisia zangu kwa mwanaume huyu sababu nilikua naogopa kumueleza ukweli leo nimeona niseme ukweli.

Nampenda sana @iambenpol Natamani awe mpenzi wangu wa maisha, sijui kama anayempenzi wake au laa ila natanguliza samahani kama nimemkosea kumueleza hisia zangu mtandaoni nahisi siwezi kumueleza live naomba mliokaribu nae mumueleze hisia zangu.

Niko tayari kuolewa nae wakati wowote. Najua wengine mtanitukana au kunikejeli kua sina hadhi ya kuwa mpenzi wake.

Naombeni mumfikishie ujumbe huu @iambenpol 
Mwambieni NAMPENDA
 usisahau kuacha comments zako apo chini..

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Baada ya Kumwagana na Ali Kiba,,Jokate Aaamua Kuweka Wazi Vigezo kwa Kidume Mwingine Anayemtaka..!!!

Mimi Mars Amkana Dada Ake Vanessa Mdee...Asema....