bunge Ally Kessywa CCM Anataka Mkapa na Kikwete Wanyongwe kwa Kuhusika na Mikataba Mibovu ya Madini..!!!


Mbunge Ally Kessy bungeni jana alisema wote wanaohusika na kusaini mikataba ya madini ambayo ni ya kinyonyaji wanyongwe, aliungwa mkono na wabunge wengine wa CCM

Lipumba naye alisema mikataba hii ni Mkapa ndiye aliyesaini, Je Ally Kessy hajui kuwa Mkapa ndio muhisika wa hili hadi akataka anyongwe? na kama anajua ni kweli anataka rais mstaafu anyongwe? au Lipumba alikuwa anadanganya?

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Baada ya Kumwagana na Ali Kiba,,Jokate Aaamua Kuweka Wazi Vigezo kwa Kidume Mwingine Anayemtaka..!!!

Mimi Mars Amkana Dada Ake Vanessa Mdee...Asema....