Goood News!!! Rayvanny ameshinda tuzo ya BET 2017


Staa wa Bongo Flava, Rayvanny kutoka WCB ameshinda tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New International Act Artist.
Alichokiandika Diamond Platnumz baada ya Rayvanny kushinda tuzo ya BET 2017 kama ‘Hatimaye leo Unakuja nayo Tanzania Dah! ๐Ÿ˜ญ….Zaidi ya miaka mi 3 tunaenda na kurudi Patupu….Hakika Maisha Uvumilivu na kutokata tamaa…. BRING IT HOME BOSS!!! @babutale
THE BET Viewers Choice Best New International Act 2017 !!!!!!!!!!!!!
WOOOOOOOOOYOOOOOOOO!!!!!!!….. Nikishindwa kwa Mkono wa Kulia, ntatumia hata Mkono wa Kushoto…..ila lazma ifike @Wcb_Wasafi TANZANIA!!!! Chkua hiyo๐Ÿ˜› #Wcb_Wasafi #WinningTeam!’

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Baada ya Kumwagana na Ali Kiba,,Jokate Aaamua Kuweka Wazi Vigezo kwa Kidume Mwingine Anayemtaka..!!!

Mimi Mars Amkana Dada Ake Vanessa Mdee...Asema....