Serikali Yafuta Ushuru Kwenye Gesti Nchini bajeti 2017/2018.

Image result for guest house in TanzaniaImage result for shule
Serikali imetangaza kufuta ushuru wa huduma  kwenye nyumba za kulala wageni.

Hayo yameelezwa leo (Alhamisi) bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Phillip Mpango wakati akiwasilisha bajeti  kuu ya mwaka 2017/18.

Pamoja na ushuru huo, pia Serikali imefuta ushuru wa mabango yanayoelekeza mahali zinapopatikana huduma za kijamii kama vile shule na hospitali.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Baada ya Kumwagana na Ali Kiba,,Jokate Aaamua Kuweka Wazi Vigezo kwa Kidume Mwingine Anayemtaka..!!!

Mimi Mars Amkana Dada Ake Vanessa Mdee...Asema....