TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAZISHI YA MZEE FRANCES MAIGE KANYASU.


Umma umeharifiwa kua serikali imefanya jitihada za kuwatafuta na hatimaye kuwapata ndugu wa marehemu mzee Frances Maige Kanyasu (86) anayetajwa kua ni mmoja ya waliochora nembo ya taifa.
Mzee Francis Maige alifariki usiku wa tarehe 29 Mei 2017, saa mbili na nusu katka hosptali ya taifa ya Muhimbili

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Baada ya Kumwagana na Ali Kiba,,Jokate Aaamua Kuweka Wazi Vigezo kwa Kidume Mwingine Anayemtaka..!!!

Mimi Mars Amkana Dada Ake Vanessa Mdee...Asema....