HESLB YATOA MWONGOZO NA VIGEZO VYA UTOAJI MIIKOPO KWA MWAKA 2017/2018

Image result for heslb 2017/2018
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inatangaza mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 na itaanza kupokea maombi ya mikopo kuanzia tarehe 6 Agosti 2017 hadi tarehe 4 Septemba, 2017.
Waombaji wote wa mikopo watarajiwa mnasisitizwa kusoma mwongozo wa utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 pamoja na taratibu nyingine za uombaji mkopo kabla ya kujaza fomu za maombi ya mkopo zinazopatikana kwenye mtandao wa https://www.heslb.go.tz
Kusoma mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 bofya hapa 
Kusoma hatua za kufuata kufanya maombi ya mkopo na malipo bofya hapa
Kusoma kuhusu sifa za msingi za mwombaji kwa Kiswahili bofya hapa  na kwa Kiingereza bofya hapa 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Baada ya Kumwagana na Ali Kiba,,Jokate Aaamua Kuweka Wazi Vigezo kwa Kidume Mwingine Anayemtaka..!!!

Mimi Mars Amkana Dada Ake Vanessa Mdee...Asema....