Ni kweli aliyekuwa mke wa Nuh Mziwanda ameolewa na mwanaume mwingine? Nuh kaandika haya


Baada ya kusikika kwenye Uheard ya August 2, 2017  waliokuwa wanandoa Nuh Mziwanda na Nawali wanaodaiwa kutengana baada ya kutoishi karibu kama awali huku Nuh Mziwanda akidaiwa kurudi kwenye dini yake ya zamani.
Kwenye Uheard hiyo wote walisikika wakilaumiana japo Nawali alinukulika akisema kuwa “Nuh kashantoka nina mume mwingine kwani hamna habari..? mume wangu hataki mambo ya nini nini.” 
Sasa Leo August 3, 2017 kwenye ukurasa wa Instagram wa Muimbaji Nuh Mziwanda amepost maneno yanayoashiria kuwa Nawal ameolewa na mtu mwingine baada ya ujumbe wa kumpongeza na kumtakia maisha mema yeye na mume wake huyo mpya huku Nawal akifuta picha zake zote alizokuwa amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram….

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Baada ya Kumwagana na Ali Kiba,,Jokate Aaamua Kuweka Wazi Vigezo kwa Kidume Mwingine Anayemtaka..!!!

Mimi Mars Amkana Dada Ake Vanessa Mdee...Asema....